Napenda tushirikiane ujumbe mfupi kwa habar ya makosa yalimgharimu Musa.
KOSA LA KWANZA
ni lile la kutokuamini/ ubishi au kutokuelewa au kutukubali au kwa namna roho atakavyokufundisha hapo... kutoka 4:13 Akasema,We Bwana tuna kwa mkono wake huyo utakaye mtuma .
Ukiendelea utaona Hasira ya Mungu ikiwaka kuu yake lakin Mungu akanyamaza akaendelea kumpa maagizo Musa na akampa solution kabisa ya ubishi wake.
Kutoka 4:24 Ilikua walipokuwa njiani mahali pa kulala, Bwana akakutana naye akataka kumwua.
Unaweza kuona Mungu alikua anasubiri mahali amwue Musa kwa sababu ya kosa alilokua amefanya.
.... Tunajifunza nin??? Unaweza ukafanya kosa Leo ukafikiri Mungu haoni au amesahau lakin nikwambie anakusubiri mbele na kama usipotubu kuna hatar au kama hutapata watu was kusimama kwa rehema kama alivyofanya Sipora mkewe Musa utapata shida..Pamoja na kua Mungu anaendelea kukutumia ktka huduma tunapaswa kuwa makini sana katika hili wapendwa.
KOSA LA PILI
Maji ya Meriba.Hesabu 20:11-12
Musa aliagizwa na Bwana apige mwamba Mara moja yaani neno litimie kwamba mwamba ule ni Yesu na atasulubiwa Mara moja tu na sio marambili.. Unaona hapo Mungu akiwa serious sana na maagizo take kwa usahihi kama alivyoagiza, utakuja kuona Musa anakosa kuingia kanan hapo anaiona tu kwa mlima... Tunajifunza nn?? Tunapaswa kufuata maelekezo kwa usahihi bila kubadilisha chochote.. kutoka 27:13-14...
Leo kama watumishi wa Mungu tunapswa kujiangalia sana tusiwahubiri wengine na sisi tukawa watu was kukataliwa!
No comments:
Post a Comment