Showing posts with label Luvanda.. Show all posts
Showing posts with label Luvanda.. Show all posts

Thursday, March 7, 2019

SIRI YA KUOMBA na kujibiwa.

                Bwana Yesu asifiwe.,
Kabla ya yote naanza kwa swali hili,. Ni nini maana ya kuomba sana? Nakwanini hatupati majibu?
Swali letu kuu,."Kwanini tunaomba sana lakini hatujibiwi?
.,Mchango wa watumishi mbalimbali kuhusu swali hili ni kama ifatavyo,.
  
         Sababu za kuomba na kutojibiwa.
       °°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°

1-Imani., bila imani hatuwezi kupokea chochote. Hata kumpendeza Mungu,.
2-Maisha yetu halisi,. Ukwel ni kwamba maombi ya asiye haki ni kelele mbele za Mungu, hivyo watu wengi huenda mbele za Mungu wakiwa tayari wapo mbali sana nae kutokana na maisha yao halisi,. Yani mtu anaomba lakini ndani ya moyo wake hajaamua kuacha dhambi moja kwa moja hivyo anaonekana mnafiki.
3-Ufahamu, juu ya nyakati
Mungu wetu anatenda mambo kwa wakati wake na wakati wake ni mkamilifu, Kuna mambo hatujaweza kuyamudu na tunayaomba hivyo Mungu anakua kimya kwa sababu wakati bado.,
4:Ufahamu juu ya haki zetu
Hatujui haki zetu na hatujui namna ya kuzipata hivyo tunaanza kushughulika na mambo ambayo ilipaswa yatufuate tu kwa kuenenda sawasawa na neno la Mungu,
5-#Tunaomba vibaya, kwa tamaa zetu au nje ya mapenzi ya Mungu.
*-Kutotenda wajibu wetu,
Wakristo wa sasa wapo walioacha wajibu wao na unaweza kumkuta mtu anaomba wajibu wake,
6-tunamajibu yetu
Mara nyingi tunategemea majibu Fulani tunapomuomba Mungu then Yakima tofauti tunaona Mungu hajatujibu kumbe hayakua majibu sahihi, au hakukua na usalama katika hayo yetu.

Nyongeza,.,.,
Kuna vitu sio vya kuomba,.
Maombi sio jumla ya kilakitu, maombi ni kwaajil ya kupata vile unavyopaswa kuomba tu,. Ila vingine sio vyakuomba.,

7-Haraka
Tunaharaka ya kutoka uwepon mwa Bwana.tunapeleka taarifa na hatufanyi maombi,. Hivyo hatusubiri tuzungumze na Mungu.
8-Tunda la roho limepungua ndani yetu.
Tumekosa uvumilivu, unyenyekevu, hata hivyo bidii hatuna,.
9-Kuomba na kufunga
Yapo mambo ambayo ili yatoke inapaswa kufunga na kuomba,. Leo baadhi ya watu hawataki kabisa kufunga na kuomba,. Na wengine hawamaanishi,.
Marejeo.
___________
Ufahamu., *zaburi 25::
Waamuzi 20:17
*Note*
Mafanikio ya huduma yeyote hayategemei wito peke yake Bali ni pamoja maombi.
+++++
2 Nyakat7:14
Mathayo 7:7 Tumeitwa tuombe mbele za Mungu,.

    Be blessed,. Comment and share
Visit davidkalebi@blogspot.com

WATU WANGU WAJIBU WANGU. MY PEOPLE MY RESPONSIBILITY

 ✓ WATU WANGU WAJIBU WANGU ✓My people my responsibility *NI MUHIMU KUFAHAMU KWAMBA UNATAWAJIBIKA KWA WATU WAKO KATIKA MAMBO YOTE. YAANI YAKI...