Sunday, March 10, 2019

#Ibada_halisi

#Moyo uliowazi ni rahisi kufanya ibada halisi, *#Watapanda madhabahuni pangu kwa kibali*
#Kila mtu anayemtumikia Mungu, kipo kibali alichowahi kua nacho au pengine anachobado, na ipo neema inayomuwezesha kuwa mtenda kazi pamoja na Kristo,. Hichi kibali kimedanganya wengi wakaenda mbele za Mungu kwa mazoea na huku mioyo yao imefarakana na Mungu,. Nakusihi kwa upendo wake Kristo hakikisha moyo wako umepatana na Mungu kabla hujasimama mbele zake kumtumikia kwa lolote lile, hakikisha kuna uhusiano ulio hai kati yako na Mungu

No comments:

Post a Comment

GHARAMA YA USHINDI

  GHARAMA YA USHINDI 1. Utangulizi 2. Gharama ya ushindi 3. Kudumu kuwa mshindi Sehemu ya kwanza. Utangulizi   Kila jambo unalo ona limekwi...