Na .Mwl Wetu..
Bwana Yesu asifiwe.
Developing Devotional relationship with God
Kuna aina saba za mahusiano
1: Wewe na Mungu
2: Wewe na mpenzi au mtu wa karibu sana mfano mke, mume au mchumba
3:Wewe na familia yako (mjomba n.k)
4: Familia hii na familia nyingine
5:Wewe na Kanisa
6: Wewe na ufalme( wana wa Mungu ambao sio washirika wenzako katika kanisa moja)
7:Wewe na ulimwengu/dunia
Leo tutaangalia zaidi mahusiano kati yako na Mungu., haya yamebeba msingi wa kila aina ya mahusiano unayopaswa kuwa nayo.
1. Uhusiano kati yako na Mungu unaoneshwa na namna gani unamjua Mungu na kumpenda Mungu, Na kumjua Mungu nikulijua neno lake na kulitenda
Huwezi kusema unamahusiano na Mungu wakati huna mawasiliano naye.,Huenda mawasilano yenu yameingiliwa na jambo lingine..
We have much time to pray but no time to listen from God.
Huwezi kuwasiliana na Mungu wakati wa uhitaji tu na ukasema unamahusiano mazuri na Mungu.
Ninyi mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu ombeni lolote ..
Listening .. Unauwezo wa kumsikiliza Mungu?
Je unasoma neno lake??
Develop a Conversation with God
Relational prayer, kuna wakati unapaswa kwenda Mbele za Mungu kuimarisha uhusiano wako na Mungu na sio kwenda mbele zake kila saa for your needs/probpems
Reference
Mwanzo 3:24
Dhambi inadhoofisha uhusiano wako na Mungu.
Yohana 17:3
Mwanzo 3:8
Watu wengi wa Leo wanamuda mwingi wa social network kuliko muda wao na Mungu, hawawezi au wamesahau kutafuta relationship na watu kuliko Mungu.
Vijana wanatafuta wenzi wao kwa juhudi kubwa kuliko kumtafuta Mungu na kuimarisha uhusiano wao na Mungu.
Make a room for God in your heart
...
Mungu akubariki tutaendelea wakati mwingine kwa neema ya Kristo. Nakusihi sana imarisha uhusiano wako na Mungu.
*Spend more time with God!!
Barrier/kikwazo kikubwa katika mawasiliano yetu na Mungu ni dhambi na uovu,
Tukaze mwendo watumishi wa Mungu..
.... To be continued......
Mahali Casfeta Tayomi Mwecau. Monday Service.
Very powerful messages
ReplyDeletenywiiiii sindano imeingia...alie na sikio na asikie roho anenaaaaaa
ReplyDeleteAmen brother may God magnify yo ability capability and knowledge of doing more God z will through preaching his words mark 16:15.. etc
ReplyDelete